Mr. Fursa Furniture
Samani za kisasa na zenye ubora kwa ofisi, sebule na chumba cha kulala.
Muonekano wa kipekee kwa nyumba na ofisi.
Tunachagua bidhaa zenye finishing nzuri.
Chagua bidhaa kisha tuma oda moja kwa moja WhatsApp.
Catalog yetu
Mr. Fursa
Kuanzia executive desks, TV wall units, vitanda hadi bedroom sets — catalog yetu imepangwa kukurahisishia kuchagua bidhaa.
Oda kupitia WhatsApp